JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

ACT Wazalendo walia ukatili kwa mtoto wa kike

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimetoa wito kwa Serikali na vyombo vyake vya dola kupunguza muda wa uendeshaji wa kesi za ukatili dhidi ya watoto na wanawake. Chama hicho kimependekeza muda wa uendeshwaji wa…

Wilaya za Songwe kuunganishwa kwa lami

*Mhandisi Kasekenya aeleza mikakati kukabiliana na athari za mvua kubwa Vwawa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Songwe, moja ya mikoa ya kimkakati nchini, imedhamiria kuziunganisha wilaya zake nne kwa mtandao wa barabara za lami. Mkoa huo unaoiunganisha Tanzania na nchi…

Wizara ya Afya yasaini makubaliano ya ushirikiano na taasisi za afya nchini India

New Delhi, India Wizara ya Afya Tanzania na Taasisi za Afya nchini India zimeingia makubaliano ya ushirikiano ya kuboresha huduma za afya na uzalishaji wa bidhaa za afya nchini Tanzania. Shughuli ya kusaini hati za makubaliano hayo imeshuhudiwa na Rais…

Waziri Silaa: Pisheni eneo la chanzo cha maji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida WANANCHI wa Mwankoko katika Manispaa ya Singida wanaotakiwa kupisha mradi wa chanzo cha maji cha Mwankoko wametakiwa kuridhia fidia waliyopewa na kupisha eneo la chanzo hicho kinachotumika na wakazi wa mji wa Singida. Agizo hilo…

Waziri Mhagama, azindua muongozo wa uwekezaji Manyara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama ametoa wito kwa watendaji wa Serikali; kujipanga na kuhakikisha Muongozo wa uwekezaji kwa Mkoa Manyara unawafikia wananchi wote ili kufanya kazi kwa…

EWURA yatoa onyo kwa wamiliki wa vituo vya mafuta, yavifungia vituo tisa vya mafuta

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imevifungia vituo viwili vya mafuta kwa muda wa miezi sita kwa kosa la kuhodhi mafuta ili kujipatia maslahi haramu ya biashara ikiwemo faida…