Category: Habari Mpya
Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), laweka mkazo uwekezaji maghala ya kisasa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkurugenzi Mtendaji wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), Godfrey Malekano amesema kuwa watendelea kuimarisha mifumo katika utendajikazi wa taasisi hiyo ili kuongeza mchango katika kuchochea uchumi wa Tanzania. Ameyasema hayo leo Septemba 6,2023 jijini Dar es…
Waziri Mkuu atoa agizo kwa Naibu Waziri Mkuu Biteko
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko aendelee kushughulikia suala la changamoto ya upatikanaji wa nishati ya mafuta katika maeneo mbalimbali nchini. “…Watanzania wapate hii huduma, upatikanaji huu ni muhimu kuhusisha taasisi…
Profesa UDSM awapiga msasa walimu shule za St Mary’s
Na Mwandishi Wetu MHADHIRI wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Goodluck Urassa amesema ili shule ziweze kufanya vizuri kitaaluma, walimu wanapaswa kufanya kazi yao kama sehemu ya biashara, na kuongeza ubunifu. Profesa Urassa, aliyasema hayo jana jijini Dar…
Tanzania yakabiliwa na upungufu wa walimu wa somo la hisabati
Tanzania inakabiliwa na upungufu wa walimu wa somo la hisabati katika ngazi zote hali inayochangia kuendelea kuwepo kwa ufaulu mdogo katika somo hilo. Hayo yamesemwa jijini Arusha na Mwenyekiti wa Chama cha Hisabati Tanzania (CHAHITA), Betinasia Manyama wakati akizungumza katika…
Kayombo: Kibaha yajidhatiti kukabiliana na ukatili wa kijinsi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Halmashauri ya Mji Kibaha ,mkoani Pwani imeanza utekelezaji wa mkakati kabambe wa kutokomeza ukatili wa kijinsia ili kutoa fursa kwa jamii kushiriki kikamilifu shughuli za uzalishaji kujipatia kipato cha familia na Taifa kwa ujumla. Mkuu wa…





