Category: Habari Mpya
Bil 5.9 zimetumika kununua viuadudu katika halmashauri nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 5.9 kununua viuadudu katika ngazi ya Halmashauri ndani ya kipindi cha mwaka 2017 hadi 2023. Hayo yaimebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya,…
Swala ya Ijumaa,Masjid Al Rahmah, Mombasa Zanzibar
…………………………………………………………………………………………………………. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaomba waumini wa dini ya Kiislam nchini kuendelea kumuombea dua njema na kuliombea taifa kuendelea na amani, utulivu mshikamano na ushirikiano wa watu wake…




