Category: Habari Mpya
Shughuli ya kuwaokoa 13 waliozama ziwa Victoria yakwama
Watu 13 wanahofiwa kupoteza maisha na wengine 14 wakinusurika kifo baada ya kuzama ziwa Victoria eneo la Mchigondo kata ya Igundu Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Igundu, Sumila Nyamkinda Kafumu…
Ummy: Akina mama epukeni mikopo ya kausha damu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kilimanjaro Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amewatahadhalisha wanawake kutochukua mikopo itakayowarudisha nyuma kimaendeleo maarufu Kausha damu. Ummy ameyasema hayo alipotembelea wilaya…
Kibamba: Wanahabari msione aibu kusimamia haki zenu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile amewashauri waandishi wa habari nchini kutumia uhuru ulioongezeka kwa kuwajibika na kuzingatia sheria. Akizungumza mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa majadaliano ya Sheria ya…
Kinana: Wapinzani jengeni hoja, acheni kejeli kwa Rais
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinanaa amewashauri na kuwakumbusha wanaiasa wa upinzani kuheshimu fursa ya maridhiano ya kisiasa iliyotolewa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Amesema lugha za matusi, kejeli na dharau dhidi kiongozi wa nchi zinapaswa…





