JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali kujenga majengo ya kuhifadhi na kuhudumia zana za BBT

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali imefikia uamuzi wa kutekeleza mradi wa Building a Better Tomorrow (BBT) unaolenga kuongeza ushiriki wa vijana katika kilimo kwa kuwapatia mafunzo, maeneo ya mashamba, mitaji na kuwaunganisha na fursa za masoko. Ambapo utekelezaji wa…

Majaliwa: Tunataka kila mwananchi apate Kitambulisho cha Taifa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi…

Mpango afungua mkutano wa TLS Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali pamoja na wageni waalikwa wakati alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili…

Pula yaondoa mahakamani shtaka dhidi ya kampuni ya ARM

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kesi ya madai iliyokuwa imefunguliwa na kampuni ya Pula LLC na Pula Graphite Partners, dhidi ya kampuni ya African Rainbow Minerals Ltd. (ARM) ya nchini Afrika Kusini na washirika wake sita kuhusiana na kuvunja makubaliano ya…

Iran yawanyonga saba kwa mashtaka ya dawa za kulevya, ubakaji

Iran Jumatano iliwanyonga wanaume saba katika magereza mawili nje ya Tehran kwa mashtaka kuhusiana na dawa za kulevya na ubakaji, Shirika la Kutetea Haki za Binadamu limesema, na kuharakisha kile wanaharakati wanachokielezea kama msururu wa kuwanyonga watu katika kipindi cha…

Okash awakalia kooni walawiti na wabakaji, atoa onyo kali.

Na Mwamvua Mwinyi,JAMHURI MEDIA Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ,Halima Okash ,ametoa onyo kali kwa wabakaji na walawiti na kusisitiza zuio la dhamana kwa watuhumiwa hao hasa ambao wamekuwa wakijitamba wanaporejea uraiani baada ya kupata dhamana. Aidha ameeleza,atakayekutwa na hatia…