JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mkataba wa mchongo waitia hasara ATCL, LUKU zafuka moshi, mikoa 29 mita hazisomi mwaka mzima

Taasisi ya iliyowasilisha serikalini ankara (invoice) iliyoongezewa dola milioni 49, sawa na Sh bilioni 114 ni Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA), JAMHURI linathibitisha. Habari zisizotiliwa shaka kutoka vyanzo vya uhakika, zimesema TGFA ambao wana jukumu la kununua ndege…

Waziri Jafo awataka wachimbaji kufuata sheria ya mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaasa wachimbaji wadogo wa dhahabu kutumia teknolojia mbadala wa miti katika shughuli zao. Dkt.Jafo ametoa kauli hiyo wakati akishiriki katika…

Barrick North Mara, wakandarasi wakabidhi msaada wa vifaa Tarime

Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara na wakandarasi wake mgodini wamekabidhi msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 120 katika Kituo cha Afya Sungusungu kilichopo Nyamongo wilayani Tarime. Hafla ya kukabidhi msaada huo imefanyika katika…

Rais Samia apongezwa kuchukua hatua ripoti ya CAG

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Rais Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti…

CAG abaini madudu ukaguzi wa REA 2015/16-2019/20

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amebaini kuwepo kwa mapungufu ya utandaji umeme vijijini na kuashiria kuwepo kwa mianya ya ubadhirifu wa fedha. Hayo yamebainika katika ripoti yake ambapo katika ukaguzi Mamlaka ya Nishati Vijijini…