Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Tume ya Kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisi  za Haki Jinai,ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo  Kujitambulisha,chini ya Mwenyekiti wake Jaji Mkuu Mstaafu Mhe.Mohamed Chande Othman (wa tano kulia).[Picha na Ikulu] 11/04/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisis za Haki Jinai Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mhe.Mohamed Chande Othman,baada ya mazungumzo na Tume hiyo  ilipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo  Kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 11/04/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Tume ya Kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisi  za Haki Jinai ilipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo  Kujitambulisha,ujumbe wa tume hiyo  wakiongozwa na Mwenyekiti Jaji Mkuu Mstaafu Mhe.Mohamed Chande Othman (wa pili kulia).[Picha na Ikulu] 11/04/2023
Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya Kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisi  za Haki Jinai,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipozungumza na Tume hiyo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo  Kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 11/04/2023.

By Jamhuri