JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais mpya wa Nigeria aenda Uingereza ‘kupumzika’

Rais mteule wa Nigeria Bola Tinubu amesafiri hadi Ufaransa na Uingereza “kupumzika” na kupanga mpango wa mpito kabla ya kuapishwa kwake Mei 29. Tunde Rahman, msemaji wa Bw Tinubu, katika taarifa yake Jumatano alisema kuwa mteule aliondoka nchini Jumanne. Kwa…

Marekani yaipongeza Tanzania kwa kutoa taarifa za ugonjwa Marburg

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Michael Battle ameipongeza Tanzania kwa uwazi na utoaji wa haraka wa Taarifa kwa umma kuhusiana na ugonjwa wa Marburg mkoani Kagera. Ameyasema hayo jana jijini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Afya…

Dkt.Mpango ataka barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu kukamilika kwa wakati

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu yenye urefu wa kilometa 260.6 unakamilika kwa wakati na ufanisi uliokusudiiwa. Amesema hayo Wilayani Kasulu alipokutana…

Balozi Uholanzi ampongeza Rais Samia kufungua milango kwa vyombo vya habari

Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Wiebe de Boer amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua ya kufungua milango kwa vyombo vya habari na kutakiwa kufanyakazi bila woga. Balozi Boer ametoa kauli hiyo alipokutana na viongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania…

Ripoti:Kulikuwa na uzembe wa marubani ajali ya ndege ya Precision

Ripoti ya pili ya ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotokea tarehe 6 Novemba ,mwaka 2022 katika Ziwa Victoria, Bukoba, Mkoa wa Kagera na kusababisha vifo vya watu 19 na wengine 24 kuokolewa imeseka kuwa kulikuwa na uzembe wa marubani….