JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali kushirikiana na wadau kukabiliana na ugonjwa wa kifua kikuu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imedhamiria kuendelea kushirikiana na wadau katika sekta zote ili kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) ifikapo mwaka 2030. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi…

Kimbuga Freddy chauwa zaidi ya watu 100 Malawi, Msumbiji

Malawi ndio nchi iliyoathirika zaidi na kimbuga hicho, ambapo watu hadi sasa 99 wamepoteza maisha yao kufuatia maporomoko ya udongo yaliyosomba nyumba kadhaa nchini humo. Kamishna katika Idara ya Kukabiliana na Majanga Charles Kalemba amewaambia waandishi wa habari kuwa, wanatarajia…

Serikali yadhamiria kuachana na matumizi ya kuni,mkaa

Waziri wa Nishati,January Makamba ameeleza kuwa, Juni mwaka huu utafanyika uzinduzi wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia na Mpango Mkakati wa utekelezaji wa Dira hiyo ambayo itaainisha masuala mbalimbali ikiwemo hatua…

Kamati ya kuchakata data za hali ya hewa duniani yakutana Tanzania

Tanzania imekuwa mwenyeji wa mkutano wa Kamati ya Kuchakata Data za Hali ya Hewa Duniani, lengo ikiwa ni kuhakikisha data za hali ya hewa zinatumika ipasavyo na taasisi za hali ya hewa katika nchi wanachama wa Shirika la Hali ya…

Mchungaji afunga kanisa baada ya kushinda Mil.100 za betting

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Mchungaji mmoja kutoka nchini Uganda amefunga kanisa lake baada ya kushinda sh. Milioni 100 kwenye mchezo wa bahati nasibu (betting). Machi 16, mwaka huu, mtandao mmoja Uganda ulichapisha taarifa za mchungaji huyo akieleza kuwa ameamua…