JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tanzania yaongoza kikao cha wataalamu Afrika kuhusu nishati safi ya kupikia

Na Mwandishi Wetu Tanzania imeongoza kikao cha wataalamu kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika kujadili kuhusu vipaumbele vya sera katika masuala ya nishati safi ya kupikia ili kuja na azimio litakalopitishwa na wakuu wa nchi husika barani humo. Kikao hicho kimefanyika…

Serikali yatoa kibali cha ajira mpya 13187 Wizara ya Afya

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema katika kukabiliana na changamoto ya sasa ya uhaba wa Watumishi, Serikali imetoa kibali cha kuajiri jumla ya Watumishi 13,187 katika Sekta ya Afya huku pia ikichukua hatua ya kutekeleza mwongozo…

TRA, ZRA waweka mikakati kuimarisha utendajikazi mpaka wa Tanzania, Zambia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tunduma KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA), Dingani Banda wameweka mikakati ya kuimarisha utendaji kazi wa mpaka wa Tanzania na Zambia, Tunduma ili…

Maeneo yaliyoathiriwa na mvua barabara Dar -Mtwara yote ni shwari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Barabara ya Dar es Salam Lindi -Mtwara sasa imerejea katika hali ya kupitika baada ya kukamilika urejeshaji wa mawasiliano katika maeneo yote yaliyokuwa yamekatika. Mvua kubwa zilizoambata na Kimbunga Hidaya ziliharibu miundombinu ya barabara hiyo…

ACT Wazalendo – Upotevu wa maji utafutiwe mwarobaini

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimeishauri Serikali kufanya ukaguzi na ukarabati wa miundombinu ya maji ikiwemo mita, mabomba, matanki, ili kuzuia upotevu wa maji na kudhibiti mifumo ya maji taka yanayovuja ovyo hali itakayopelekea wananchi…