Category: Habari Mpya
Waziri Kikwete awapa kibarua wataalamu mipango miji
Na Anthony Ishengoma,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwan Kikwete amewataka Wataalam wa Mipango miji kutambua kuwa zoezi la utwaaji ardhi ni la ushirikishwaji tofauti na baadhi ya wataalam wanavyofanya bila kushirikisha wananchi. Ameongeza kuwa vitendo hivi…
Wanafunzi 24,000 Rukwa hawajui kusoma wala kuandika
Na Israel Mwaisaka,JamhuriMedia,Nkasi Imeelezwa kuwa Mkoa wa Rukwa una wanafunzi wa shule za msingi wapatao 24,000 ambao hawajui kusoma,kuandika na kuhesabu. Hayo yamebainishwa na Ofisa elimu wa mkoa huo, Samson Hango wilayani Nkasi wakati Katibu Tawala wa mkoa, Rashid Mchata…
Polisi wazungumzia taarifa za ugaidi kwenye mitandao
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa hali ya ulinzi na usalama wa nchi ni shwari kwani matukio makubwa yanayoweza kuleta hofu kwa wananchi yanaendelea kudhibitiwa, Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa kwa vyombo vya habari leo Januari 26, 2023 na msemaji…
Kilo 399 za dawa za kulevya zakamatwa
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata jumla ya kilo 399.28 za dawa za kulevya aina ya bangi katika Kitongoji cha Sokoni, Kiji cha Chogoali, Kata ya lyogwe, tarafa ya Gairo, wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro. Kwa…
Umoja wa Ulaya waridhishwa na mradi wa maji Mwanza
………………………………………………………………………………………………………. Mabalozi wa Umoja wa Ulaya wameridhishwa na ubora na kasi ya ujenzi wa mradi wa shilingi bilioni 69 wa Dakio jipya la Maji katika eneo la Butimba Jijini Mwanza. Mabalozi wa Umoja huo wamepongeza jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali…





