JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Kairuki awajia juu walimu wanaotoa adhabu ya viboko kwa wanafunzi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Angellah Kairuki,amewaonya walimu wanaokiuka Kanuni za Elimu za mwaka 2002 na kutoa adhabu kali kwa wanafunzi Serikali haitosita kuchukua hatua kali dhidi yao. Waziri…

Jenista atoa wito kwa wakazi Mkoa wa Kaskazini Unguja kurasimisha ardhi

Na James Mwanamyoto,JamhuriMedia,Zanzibar Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Jenista Mhagama ametoa wito kwa wakazi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, kurasimisha ardhi ili kupata mtaji wa kujenga nyumba za wageni za kawaida zinazohitajika…

Tanzania yafaidika na miradi ya kupambana na hali ya jangwa

Katika kukabiliana na changamoto ya ukame, Tanzania imefaidika na miradi ya kuhamasisha matumizi endelevu ya ardhi hivyo kupunguza kuenea kwa hali ya jangwa na ukame na athari zake. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)…

Rais Samia ateua Ma DC wapya 37 na kuhamisha wengine 48

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao.Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140,…

Wananchi wa Mugango-Kyabakari-Butiama kupata maji Juni mwaka huu.

Na Jovina Massano, Msoma. Mradi wa maji ya Ziwa Victoria  ulioanzishwa na Hayati baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere mwaka 1974 kutokea Musoma vijijini kuelekea wilayani Butiama mkoani Mara wafikia asilimia 73 .  Mara baada ya kukamilika kwa Mradi…