JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Kifo cha utata, Polisi Pwani yamshikilia mume

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Michael anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kutokana na utata wa kifo cha anayedaiwa kuwa mke wake Primrose Matsambire (39) raia wa Zimbabwe . Primrose amefariki katika Hospitali ya…

Ummy:Serikali kuwalinda wazalishaji dawa ili kuongeza ukuaji uchumi

Na Englibert Kayombo,JamhuriMedia,Dar Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema itaendelea kutoa kipaumbele na kuwalinda wazalishaji wa dawa na vifaa tiba waliopo hapa nchini ili kuongeza uzalishaji pamoja na ukuaji wa uchumi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo…

Serikali yakanusha taarifa ya ndege zinazodaiwa kutua mbugani kusafirisha wanyamapori

Hivi karibuni kumekua na taarifa za uzushi na upotoshaji zinaendelea kutolewa kupitia mitandao ya kijamii na baadhi ya watu wenye nia ovu ili kuzua taharuki kuwa ndege zinazoruka na kutua katika maeneo ya hifadhi zinasafirisha wanyamapori na rasilimali nyingine zinazolindwa…

Rais Samia afungua Skuli ya Mwanakwerekwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya ustawi wa jamii kama elimu, maji na afya ili wananchi waweze kunufaika na huduma hizo. Rais Samia ameyasema hayo leo wakati…

Bei za vyakula kuanza kupungua mwezi Machi

Hatimaye Serikali imesema bei ya vyakula itashuka kuanzia Machi ili kuwarahisishia wananchi gharama za maisha. Hayo yamebainisha na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Januari 10, mkoani Dodoma. Bashe amesema kuwa Serikali…

Serikali yaagiza elimu ya kutosha kuhusu bima ya afya itolewe kwa wote

Na. WAF – Dodoma Serikali imeagiza kutolewa kwa elimu ya bima ya afya kwa wote kuelekea kipindi hiki cha kusomwa tena Bungeni kwa Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote. Hayo yameelezwa leo na Katibu Mkuu, Wizara ya Afya Prof….