JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Adaiwa ‘kumloga’ DC asitumbuliwe

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Chamwino Mwenyekiti wa Kijiji cha Mpwayungu, Chamwino mkoani Dodoma, Gabriel Hoya, amekana tuhuma za kwenda mkoani Tanga kutafuta ‘dawa’ kuzuia ‘asitumbuliwe’. Tuhuma hizo zimetolewa baada ya Hoya kutoonekana kwenye mkutano wa hadhara ulioitishwa na Mkuu wa Wilaya ya…

Watuhumiwa kesi za ubakaji 223 waenda jela miaka 30

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kushirikana na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka limewafikisha mahakamani watuhumiwa 270 kwa makosa ya ubakaji na watuhumiwa wawili kati yao wamefungwa kifungo cha maisha jela…

TARURA Kibaha yapendekeza bilioni 59.3/- kwa ajili ya miradi ya barabara

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha WAKALA wa barabara mijini na Vijijini (TARURA) wilaya ya Kibaha , mkoani Pwani imependekeza jumla ya sh.bilioni 59.3 kwa ajili ya kugharimu miradi 26 ya maendeleo ya barabara katika kipindi cha kwa mwaka 2023/2024. Kaimu meneja TARURA…

Dkt.Gwajima awaasa wanawake kupaza sauti kupinga ukatili

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Mafia Wanawake nchini wameaswa kujiamini kwa kupaza sauti zao ili kukabiliana na wimbi la vitendo vya ukatili vinavyowakabili. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima alikutana na wananchi wa Kata ya…

Nsokolo: Tangu rais aingie madarakani amekuwa rafiki wa wanahabari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Imeelezwa kuwa kitendo cha Serikali ya Awamu ya Sita kukaa meza moja na kujadili mchakato wa mabadiliko ya sheria ya habari nchini,kumeonyesha dhamira njema katika kufanikisha maendeleo ya sekta ya habari nchini. Hayo yamesemwa na Rais Muungano…