Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkansi akiwa katika ziara ya Mkoa wa Rukwa Desemba 14, 2022. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkansi akiwa katika ziara ya Mkoa wa Rukwa, Desemba 14, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu