Category: Habari Mpya
Mkenda:Ajira ya chuo kikuu isiwe kuangalia GPA pekee
Na Mathias Canal,JamhuriMedia, Dar Kuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili. Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu badala…
Wakulima Manyara walia upatikanaji ruzuku ya mbolea
Wakulima mkoani Manyara wameiomba Serikali kuangalia namna ya kusambaza mbolea ya ruzuku kutokana na usumbufu wanaoupata kwa kukosekana vituo vya karibu. Wakizungumza na kituo cha redio cha Smile FM, baadhi ya wakulima kutoka Dareda, Mamire na maeneo mengine ya wilaya ya Babati wanasema wanatumia gharama kubwa…
Watetezi wa mazingira MECIRA kujadili umuhimu wa utunzaji vyanzo vya maji
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Kituo chama Wanahabari ,Watetezi wa Rasilimali na Taarifa MECIRA kimeamua kuwakutanisha wadau mbalimbali wa maendeleo, mazingira, uhifadhi na utalii kwa ajili ya kujadili umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji na uhifadhi wa mazingira. Akizungumza na waandishi…
Filamu ya The Royal Tour yatajwa kuleta ushawishi wa kitalii nchini
Filamu ya ”The Royal Tour”ambayo imetajwa kuleta ushawishi wa Kitalii nchini.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan,Tuzo ya kimataifa ya kuwa muongoza watalii bora nchini kutoka Taasisi ya Kimataifa ya International Iconic Award ya nchini India. Akizungumza…
DC Mgema:Vita ya kugombania maji inakuja
Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Ruvuma MKUU Wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololet Mgema ameitaja vita kubwa na mbaya ambayo inakuja ni ya kugombania maji. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba Wilaya ya…





