JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Zanzibar wapigwa msasa kuhusu uzalishaji wa mazao bora ya bahari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Zanzibar Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Suleiman Masoud Makame amesema uzalishaji wa matango bahari na uboreshwaji wa zao la mwani unamanufaa makubwa kwa Zanzibar na Nchi za pembezoni mwa ukanda wa Bahari ya Hidi. Waziri Suleiman…

Vikao vya kutatua hoja za muungano havijapoa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imesema vikao vya kupokea na kujadili changamoto za Muungano bado vipo na vitaendelea kuwepo kutokana na umuhimu wake katika mustakabali wa Muungano wetu. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)…

Rais Mwinyi aitaka BOT kuwezesha upatikanaji wa dhamana za mikopo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameitaka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuwezesha upatikanaji wa dhamana za mikopo kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo Visiwani. Dkt. Mwinyi ametoa maelekezo hayo alipokutana…

LHRC yalaani matukio ya mauaji albino nchini

Kufuatia mauaji ya Mkazi wa Wilaya ya Kwimba jijini Mwanza Ndugu Joseph Mathias mwenye umri wa miaka (50),kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu,kwa kushirikiana na Chama Cha watu wenye Ualbino Tanzania na Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu…

Kijana aliyeokoa watu ajali ya ndege Serikali ‘yamuheshimisha’

Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kijana Majaliwa Jackson aliyeona ndege ikianguka na kuamua kwenda kutoa msaada wa uokoaji akabidhiwe kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na aingizwe katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ili apate mafunzo zaidi. Hayo…