Category: Habari Mpya
TBS yamwaga mafuta ya kupikia Tanga
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kaskazini limekamata na kuteketeza bidhaa za juisi na mafuta ya kupikia zilizokwishwa muda wake wa matumizi ( expired products) zenye thamani ya shilingi milioni moja na laki tano za Kitanzania (1.5 milioni). Bidhaa…
Serikali yavifuta vijiji vitano vilivyovamia Hifadhi ya Ruaha
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbarali Serikali imeamuru vijiji vitano na vitongoji 41 katika vijiji 14 pamoja na sehemu ndogo ya kitongoji cha magwalisi kilichopo mamlaka ya mji mdogo wa Rujewa wilaya ya mbarali kuhamishwa ili kupisha hifadhi. Pia vitongoji 3 katika kijiji…
Makama ataka halmashauri kuacha kubagua miradi
Na Robert Hokororo,JamhuriMedia Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama ameonesha kutoridhishwa na usimamizi wa Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na kuongeza usalama wa chakula unaotekelezwa katika Halmashauri ya Nzega mkoani Tabora. Pia ameshangazwa na…





