Category: Habari Mpya
Serikali:Hakuna mgonjwa wa homa ya nyani nchini
Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini. Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe leo Mkoani Manyara wakati akitoa taarfa…
Kibaha kutoa elimu ya Sensa nyumba za ibada
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kibaha MKUU wa Wilaya ya Kibaha,Sara Msafiri, ameeleza wanatarajia kufanya matamasha na kutoa elimu ya umuhimu wa Zoezi la Sensa kupitia nyumba za ibada ili kuongeza wigo wa elimu ya sensa ndani ya jamii. Vilevile, ameiasa jamii yenye…
Halmashauri zavunja rekodi ya miaka 10
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhesshimiwa Innocent Bashungwa amesema kuwa, katika kipindi cha mwezi Julai hadi Juni 2022 halmashauri nchini zimekusanya Shilingi Bilioni 888.7 ambayo ni asilimia 103…
Waziri Mkenda aunda tume kuchunguza utoaji mikopo kwa wanafunzi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wakati dirisha la maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023likiwa wazi kwa muda wa siku 70 kuanzia Julai 19 hadi Septemba 30 mwaka huu Serikali imetangaza Tume ya watu watatu kuchunguza utoaji wa mikopo. Tume…
Waziri Maliasili afanya ziara ya kikazi TAWA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja ametembelea ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) zilizopo mkoani Morogoro. Ziara hiyo imelenga kuzungumza na menejimenti na watumishi wa TAWA kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu Mamlaka, ikiwa ni…





