Category: Habari Mpya
‘Sensa ya Makazi itapunguza migogoro ya ardhi’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Ilemela Wananchi wametakiwa kushiriki na kutoa taarifa sahihi za Makazi na umiliki wake wakati wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika mapema mwezi Agosti 23, mwaka huu, ili kupunguza migogoro ya ardhi inayoepukika. Rai hiyo imetolewa…
Sagini aagiza kufuatilia mienendo utendaji kazi wa askari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,MoHA Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameviagiza Vyuo vya Polisi nchini kuupitia mtaala wa mafunzo ili kujua kwa kiwango gani unajaribu kugusa changamoto mbalimbali zinazoonekana katika utekelezaji wa kazi za Maafisa na Askari…
Serikali kuendelea kutekeleza miradi pande zote za Muungano
Serikali imesema itaendelea kutafuta fedha za kutekeleza miradi mbalimbali ya kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi kwa pande zote mbili za Muungano. Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama alipofanya…
Dkt.Nchemba afanya ziara ya kushtukiza soko la Kariakoo
Na Benny Mwaipaja,JamhuriMedia,Dar es Salaam Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameiagiza mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutatua changamoto mbalimbali za wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo ili kuchochea biashara katika soko hilo linalotegemewa na wafanyabiashara…





