Category: Kimataifa
DRC Congo na Rwanda kumaliza mapigano
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa DRC Congo na Rwanda wamekubaliana kuanza mazungumzo ya kurejesha amani Mashariki mwa DRC Congo. Uamuzi huu umekuja baada ya kufanyika kikao maalum huko Luanda nchini Angola kilichohudhuriwa na wawakilishi wa pande hizo mbili Thérèse…
Ismail Haniyeh alikuwa nani?
Alizaliwa katika kambi ya wakimbizi huko Gaza mwaka 1963, Ismail Haniyeh alikuwa mwanachama muhimu wa Hamas tangu kuanzishwa kwake. Alifungwa na Israel mara kadhaa na wakati fulani alifukuzwa kwenda kuishi Lebanon kusini kwa miezi sita. Mnamo 2003, alinusurika jaribio la…
Kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh auawa
KIONGOZI wa kisiasa wa kundi la Hamas la Palestina Ismail Haniyeh ameuwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, vyombo vya Habari vya serikali ya Iran vimesema. Hamas imesema Haniyeh ameuawa katika shambulio la Israel kwenye makazi yake baada ya kuhudhuria…
Marekani kuipa Ukraine msaada wa kijeshi wa dola bilioni 1.7
Marekani itatuma msaada wa kijeshi wenye thamani ya dola bilioni 1.7 kwenda Ukraine. Msaada huo unajumuisha makombora ya mifumo ya ulinzi, risasi, mabomu na aina nyingine ya vilipuzi vya kushambulia vifaru na meli za kivita. Hayo yalielezwa na maafisa wa…
Maelefu waandamana Venezuela kupinga ushindi wa Rais Maduro
Vikosi vya usalama nchini Venezuela vimerusha mabomu ya kutoa machozi na risasi za mpira dhidi ya raia waliokuwa wameandamana kwa sababu ya matokeo ya uchaguzi wa Jumapili yenye utata. Maelfu ya watu walikusanyika katikati mwa Caracas Jumatatu jioni, wengine wakitembea…
Kim ashiriki uokozi waathirika wa mafuriko
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ameshiriki misheni ya kuokoa zaidi ya watu 5,000 waliokumbwa na mafuriko kaskazini-magharibi mwa Korea Kaskazini, vyombo vya habari vya serikali viliripoti Jumatatu. Mvua kubwa iliyonyesha Jumamosi ilisababisha mto kwenye mpaka wa Korea Kaskazini…





