JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Spika awataka wandishi wa habari kuelimisha jamii kuhusu athari za mabadiliko tabianchi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma SPIKA wa Bunge ambaye Pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Tulia Akson ametoa rai kwa Waandishi wa Habari nchini kuielimisha Jamii kuhusiana na mabadiliko ya Tabianchi kutokana na kuwepo kwa athari mbalimbali zilizotokana na mafuriko….

EWURA : Uchakachuaji mafuta umepungua kwa asilimia 80

Na Suzy Butondo,JamhuriMedia, Shinyanga Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi Walter Christopher amesema uchakachuaji wa mafuta umepungua kutoka asilimia 80 hadi asilimia 4 mwaka 2022. Hayo ameyasema leo Alhamisi Mei 2,2024…

Waziri Mkuu awataka wakandarasi miradi ya umwagiliaji kuzingatia ubora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya maji kuhakikisha waaitekelza kwa weledi na ubora wa hali ya Kuu. Majaliwa ameyasema hayo jana katika hafla ya utiaji saini mikataba…

Wafanyakazi Nishati katika kilele cha Mei Mosi Dodoma

Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati wameshiriki maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei, 2024. Maandamano hayo yalianzia katika viwanja vya Bunge na kuhitimishwa katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Maadhimisho hayo maarufu kama Mei Mosi kwa…

Uturuki ni fursa miaka 60 ya Uhuru Tanzania

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia Aprili 17 hadi 21, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, alifanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Uturuki. Wiki iliyopita niliandika kuhusu ukubwa wa uchumi wa nchi ya Uturuki, mapinduzi makubwa…