JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

‘Tunataka mita za maji vijijini ziwe za malipo kabla ya matumizi’

Harare, Zimbabwe Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi ameongoza timu ya wataalamu kutembelea nchi ya Afrika Kusini na Zimbabwe ili kujifunza namna nchi hizo zinavyoshirikisha sekta binafsi katika kusimamia miradi ya maji vijijini sambamba na utumiaji wa dira za…

Mkenda autaka uongozi Rungwe kujenga chuo cha ufundi

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Wilaya ya Rungwe kutafuta eneo la zaidi ya Hekari 20 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa chuo cha ufundi stadi-VETA. Waziri Mkenda ameyasema hayo leo tarehe 7 Agosti 2022…

Funza wa vitumba mdudu tishio kwa mazao duniani

Na Mwandishi Wetu,JamhuruMedia, Mbeya Imeelezwa kuwa funza wa vitumba ni tishio kwa mazao mengi kutokana na kwamba anaanza kushambulia mazao pale yanapoanza kutoa maua. Hayo yamesemwa na Mtafiti wa Wadudu waharibifu kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Ukiriguru,…

Kenya yajifunza Tanzania kuhusu usalama na afya mahala pa kazi

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umepokea ujumbe wa Kurugenzi ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi ya Kenya (DOSHS) wenye dhumuni la kujifunza kutokana na mafanikio ya WCF Tanzania na kuboresha mahusiano baina ya taasisi hizo mbili. Akizungumza baada…

TEF:Tunataka sheria za habari zitupe mwongozo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema kuwa duniani kuna mifumo mitatu ya usimamizi wa vyombo vya habari ambapo kila Serikali huamua kuchagua mfumo mmoja ambao utawaunganisha na wana habari. Hayo ameyabainisha leo katika…