Category: MCHANGANYIKO
NMB inajenga kizazi kipya cha wataalam wa sekta ya fedha
Benki ya NMB imeendeleza jitihada zake za kujenga nguvu kazi yenye ujuzi na maarifa ya kisasa katika sekta ya fedha nchini kwa kusaidia mafunzo ya kitaaluma na kutalaamu kwa vijana 100 kupitia mpango maalumu wa mafunzo ya Graduate Banker Readiness…
TAMESOT yaendelea kuimarisha taaluma ya tiba asili nchini
Na Theophilida Felician, JamhuriMedia, Pwani Chama cha waganga wa tiba asili na tiba mbadala nchini TAMESOT kimeendelea kuwafikia waganga kikiwa na malengo mahususi ikiwemo ya kuwapa elimu ya kuwajengea uelewa na uwezo thabiti katika kutoa huduma ya tiba asili. Hayo…
EWURA yapongezwa kwa ushirikiano, usimamizi wa mamlaka za maji nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) ameipatia tuzo Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa kutambua mchango wake na unaotolewa na Mamlaka hiyo katika usimamizi wa Mamlaka za Majisafi na Usafi…
TFS yapiga hatua yafikia bilioni 189, Dk Abbasi aipongeza kwa mapinduzi
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imeendelea kuonesha mwelekeo chanya wa ukusanyaji mapato baada ya kukusanya zaidi ya Sh bilioni 189 katika mwaka wa fedha uliopita, ikivuka lengo la Sh bilioni 176, hatua inayoashiria kuimarika kwa usimamizi na mageuzi…
Serikali yazikumbusha halmashauri kutumia nishati safi shuleni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imewaelekeza wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kuhakikishia taasisi zao zikiwemo za elimu zinahamia katika nishati safi ya kupikia na kuachana na kuni na mkaa ifikapo Juni 30, 2026, hatua itakayosaidia kupunguza ukataji…
Hongera Chalamila kudhibiti wamachinga, tafuta bilioni 50
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Nairobi Kwa muda mrefu Jiji la Dar es Salaam limekuwa kama linaishi kwa mazoea katika suala la kusimamia biashara za wamachinga. Si Dar es Salaam pekee, bali karibu mikoa yote ya Tanzania. Watu hawa ni nguzo…





