Category: MCHANGANYIKO
Ole kwa mabenki!
Miezi kadhaa nyuma nilikuwa safarini katika moja ya miji iliyopo Nyanda za Juu Kusini. Nilipofika stendi kuna kitu kimoja kilinivutia na nikaamua kukitafakari kwa umakini zaidi.
Jifunze namna ya kuunda kampuni
Yah: Kipi kiwe kigezo cha urais kwa sasa Tanzania?
Mwaka 1995, Mwalimu Nyerere alisimama katika majukwaa ya kuongea na wananchi juu ya kiongozi safi na anayefaa kuiongoza nchi yetu katika awamu ya tatu, alisimama akaongea mengi sana ambayo mengine hadi leo hayajafanyiwa kazi na awamu zote zilizokuwapo na kupita.
Miaka 69 ya Umoja wa Mataifa, dunia iko salama?
Ijumaa iliyopita Oktoba 24, mwaka huu ulimwengu uliadhimisha miaka 69 tangu kuanzishwa Jumuiya ya Umoja wa Mataifa (UN) huko New York nchini Marekani. Ilikuwa ni baada ya Vita Kuu vya Pili ya Dunia kumalizika (1939-1945).
Ombwe kamwe halikubaliki
Mwenyezi Mungu alipoumba dunia yetu alipanga kila kitu kujiendesha kwa namna ya ajabu. Viumbehai na visivyokuwa hai vyote vilipangiliwa kimaajabu kabisa kwa kadiri ya huo utaratibu wa Muumba wetu.
Athari za Serikali kupuuza vyombo vya habari
Sisi sote tunatarajia vyombo vya habari na mchango wake wa Taifa letu. Kwa jumla vyombo vya habari hufanya kazi tatu. Huelimisha, huchochea maendeleo na huburudisha. Lakini pia vyombo vya habari hupunguza tatizo la ajira. Hutoa ajira.
- Rais Chapo afungua Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba, jijini Dar es Salaam
- Rais wa Msumbiji, Daniel Francisco Chapo awasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
- Wizara ya Nishati yawahamasisha watoto kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia
- Salome : Wananchi wanaopitiwa na miundombinu ya umeme waunganishwe huduma kwa sh 27,000
- Mchecu: Masoko ya mitaji kufungua fursa za uchumi
Habari mpya
- Rais Chapo afungua Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba, jijini Dar es Salaam
- Rais wa Msumbiji, Daniel Francisco Chapo awasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
- Wizara ya Nishati yawahamasisha watoto kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia
- Salome : Wananchi wanaopitiwa na miundombinu ya umeme waunganishwe huduma kwa sh 27,000
- Mchecu: Masoko ya mitaji kufungua fursa za uchumi
- Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi Hospitali ya Butiama Kizurira Nyerere
- Tanzania ipo tayari kuelekea AFCON 2027
- JET highlights critical role of CSOs in combating desrtification ahead of UNCCD COP17
- Tanzanite yang’aa Sabasaba wananchi wavutiwa na upekee wake
- WRRB, Misri wajadili ushirikiano wa kibiashara kupitia mfumo wa stakabadhi ghala
- Waziri Sangu : Taasisi za dini ni nguzo ya amani, malezi bora
- Tanzania kung’ara kimataifa mkutano wa COP 12
- Prof. Shemdoe amshukuru Rais Samia na Barrick kupeleka tabasamu shuleni
- Maafisa vipimo wawatembelea wajasiriamali Sabasaba na kutoa elimu ya vipimo
- BRELA yawanoa wafanyabishara vijana wanaoshiriki Sabasaba