Category: MCHANGANYIKO
Mashirika ya umma yatakiwa kuendeleza ubunifu na mageuzi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mashirika ya Umma nchini yameshauriwa kuendeleza ubunifu, wepesi na mageuzi ya kimkakati ili kuongeza tija na kuchochea maendeleo ya taifa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuyawezesha mashirika hayo kuwa yenye ushindani na ufanisi mkubwa….
Ahadi ya Serikali kufikisha umeme wa gridi Kagera yatekelezwa
📌 Dkt.Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba itakayowezesha Wilaya zote Kagera kupata umeme wa Gridi 📌 Awali umeme mwingi ulikuwa ukitoka nchini Uganda hivyo kufanya Mkoa kutokuwa na umeme wa uhakika na wa kutosha 📌 Asema Rais.Dkt. Samia alishatoa maagizo ya…
Rais Mwinyi akutana na wanafunzi waliochaguliwa kutembelea NASA Marekani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za kuwaandaa vijana wengi zaidi wa Zanzibar kuwa wataalamu wa elimu ya anga. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo alipokutana na wanafunzi…
Mbaroni kwa kumuua mpenzi wake kwa kumkatakata na wembe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Polisi mkoani Shinyanga inamshikilia Pendo Medusela (37), mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa (35), kwa kumkatakata kwa wembe sehemu mbalimbali za mwili wake kwa kile kilichodaiwa ni kutokana…
Majaliwa mgeni rasmi maadhimisho ya miaka 50 TEWW
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 25, 2025 ni mgeni rasmi katika kongamano la kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es…
Waziri Mavunde aweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maabara ya Kisasa ya Madini Dodoma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya madini baada ya kuanza rasmi kwa ujenzi wa maabara kubwa na ya kisasa ya uchunguzi wa sampuli za madini itakayotoa huduma bora na za haraka kwa wadau wa sekta hiyo…





