JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tuwatakie ndugu zetu Wakristo heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2022 (1)

Makala ya leo yenye anuani ‘Tuwatakie ndugu zetu Wakristo heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2022’ inaangazia suala lenye mitazamo miwili inayopingana katika jamii ya Kiislamu kutokana na kutofautiana rai za wanazuoni wa Kiislamu kuhusu suala hili.  Mtazamo mmoja ni…

Mshirika wa Mnyeti matatani

*Ni mfanyabiashara Arusha adaiwa kushiriki uwindaji haramu *TAWA wapelekewa picha kuthibitisha uharibifu anaodaiwa kushiriki *Amewahi kutozwa faini kwa kujaribu kutorosha madini *Aomba JAMHURI lisiandike chochote akidai ‘haya mambo yananipa presha’, abadilika ARUSHA Na Mwandishi Wetu Wakati Taasisi ya Kuzuia na…

Soko la ajira jinamizi linalowatesa wahitimu

Madhumuni ya elimu ni kumkomboa mhitimu kifikra ili aweze kuyamudu na kuyatawala mazingira yanayomzunguka. Elimu pia inatoa nafasi kwa mhitimu wa ngazi fulani kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku. Elimu wakati wa ukoloni ilitolewa kwa matabaka makubwa ambayo…

Hali ya misitu baada ya miaka 60 ya Uhuru

Na Dk. Felician Kilahama Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai na amani hadi kushuhudia taifa letu linaadhimisha miaka 60 tangu ‘Tanganyika’ ilipopata uhuru Desemba 9, 1961.  Kadhalika, ifikapo Aprili 26, 2022 tutafikisha miaka…

Askofu Tutu aaga dunia

JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI Mshindi wa Tuzo ya Amani, mpigania uhuru maarufu na mpinzani wa ubaguzi wa rangi, Askofu Mkuu Desmond Mpilo Tutu wa Afrika Kusini, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90. Tutu, ambaye kwa miongo kadhaa alishiriki kikamilifu…

Nani atuondolee uhasama wa CCM, Chadema?

MOROGORO Na Mwandishi Wetu “Ni nani atakayetuondolea lile jiwe?” Swali gumu walilojiuliza wanawake watatu wa kwenye Biblia ile siku ya kwanza ya juma walipokwenda kaburini wakiwa na nia ya kumpaka mafuta Yesu (mwili wa Yesu uliokuwa umezikwa kaburini) kukamilisha taratibu…