JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Watumishi wa Umma waaswa kushiriki uchaguzi wa Oktoba 29

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) imetoa wito kwa watumishi wote wa umma walioko katika taasisi na mashirika ya umma kote nchini kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025. Ofisi…

Kunenge -Hakuna atakayetishwa, jitokezeni kupiga kura

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Kibaha MWENYEKITI wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Pwani, Alhaj Abubakar Kunenge, amesema vyombo vya dola vimejipanga kuhakikisha hali ya usalama inakuwa shwari na hakuna yeyote atakayebughudhiwa au kutishwa wakati wa mchakato wa upigaji…

Ado Shaibu afanya mazungumzo na mama lishe

Katika mwendelezo wa programu ya kukutana na makundi mbalimbali kwenye jamii, jana tarehe 25 Oktoba 2025, mgombea wa Ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini Ndugu Ado Shaibu Ado amekutana na kufanya mazungumzo na Mama Lishe wa Tunduru Kaskazini kwa ajili ya…

Bila uamuzi mgumu Ngorongoro itakufa

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA)ย mwaka 2017ย ilifanya Sensa ya Idadi ya Watu na Mifugo kwa watu wanaoishi katika Tarafa ya Ngorongoro. Sensa hiyo ilikuwa maalumu kufanyika katika Tarafa ya…

Kibunda cha bilioni 426.5 kuwanufaisha wanafunzi 135,240 awamu ya kwanza

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeidhinisha Shilingi Billioni 426.5 awamu ya kwanza kwa ajili ya wanafunzi wanufaika 135,240 ili kugharamia masomo yao. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dkt. Bill Kiwia, Oktoba 24, 2025,…