Category: MCHANGANYIKO
ACT – Wazalendo chatangaza kujitoa kwenye Umoja wa Kitaifa
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kujitoa kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa kutokana na kutotekelezewa hoja zao tatu ikiwemo fidia kwa waliopata madhara katika uchaguzi 2020, kuundwa Tume ya Kijaji kuchunguza uvunjifu wa…
TRA yatoa tuzo kwa mwanamke kinara kulipa kodi nchi nzima
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kusherehekea siku ya Wanawake Duniani Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa tuzo ya mwanamke Mlipakodi namba moja Tanzania kwa mwaka 2023. Mwanamke huyo ni Zainab Addan Ansell ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa…
UWT yahamasisha wanawake kujisajili na umoja huo kidigitali
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kusherehekea Siku ya Wanawake dunia ambayo hufanyika Machi 8, kila mwaka, Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umekuja na kampeni maalum ya kuhamasisha wanawake na wasichana kujisajili na umoja huo kielekloniki (Kidigitali). Akiitambulisha…
Ntibazonkiza aitwa Timu ya Taifa ya Burundi
Na Isri Mohamed Mchezaji wa Kimataifa anayekipiga katika klabu ya Simba SC Saido Ntibazonkiza ni miongoni mwa wachezaji 27 walioitwa kwenye timu ya taifa ya Burundi inayonolewa na kocha Etienne Ndayiragije. Kikosi hicho ni kwa ajili ya kujiandaa na michezo…
Wanawake Namtumbo wapigwa jeki milioni 287
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Namtumbo Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake (WEF) umetoa mkopo zaidi ya shilingi milioni 287 tangu mwaka 2015 hadi 2024 Kwa wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na , Mkuu wa Wilaya…
Trump ataka mdahalo wa uchaguzi na Biden
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amemtaka Rais Joe Biden kuandaa mdahalo wa wao wawili kufuatia Trump kuonekana kupata ushindi katika kura za jumla za mchujo, maarufu kama Super Tuesday, zilizofanyika wiki hii. Rais wa zamani wa Marekani Donald…