
Gari la Katibu Mkuu TALGWU kimeo
*Limenunuliwa kwa Sh milioni 180 *Lilipokatiwa bima nyaraka inaonyesha limenunuliwa kwa Sh milioni 70 DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Gari analolitumia Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) Taifa, Rashid Mtima, kwa ajili ya shughuli za ofisi yake lenye namba za usajili T 327 DPP limegubikwa na utata mpya baada…