JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Kiburi chanzo cha ajali

Ajali ya gari iliyoua watu 23 papo hapo na kujeruhi wengine 34, imeongeza maumivu mengine kwa Watanzania ambako sasa takwimu zinaonesha zaidi ya abiria 1,000 wamepoteza maisha. Ajali iliyotokea usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita ilihusisha basi la Kampuni ya Another…

Jaji Ramadhani sasa tishio

Jaji Augustino Ramadhani amesema endapo atafanikiwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, watu wasitarajie kuwa “uchungaji” wake utamfanya awe na huruma na wakosaji. Katika mahojiano maalum na JAMHURI, Jaji Ramadhani amesema atapambana na wala rushwa kama alivyofanya…

TFDA yafunga viwanda India

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeelezwa kuwa ni taasisi bora barani Afrika inayoheshimika na kuaminika na Shirika la Afya Duniani (WHO), kutokana na utendaji wake uliokidhi viwango vya ubora. Hayo yameelezwa wiki iliyopita na Waziri wa Afya na…

Ulaji wa kutisha bungeni

Mapendekezo ya Tume ya Utumishi wa Bunge, ya kumlipa kila mbunge mafao ya Sh milioni 238 baada ya Bunge kuvunjwa mwezi ujao, yanazidi kuichanganya Serikali. Duru za uchunguzi zinaonyesha kuwa tayari Serikali inakabiliwa na ukata mkubwa, kiasi cha kusuasua kuwalipa…

AGPAHI yamwaga misaada Shinyanga

Shirika la AGPAHI, linalojihusisha na mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI, limezindua majengo mawili kwa ajili ya Huduma za Tiba na Matunzo kwa watu wanaoishi na vimelea hivyo.   Shirika hilo linalofadhiliwa na watu wa Marekani…

GST yaongeza thamani madini ya nikeli

Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) kupitia maabara yake ya utafiti wa madini, imefanikiwa kuongeza thamani ya madini ya nikeli (Ni) kutoka katika mbale za Milima ya Mahanza-Haneti mkoani Dodoma.   Akizungumza na MEM Bulletin, Mhandisi Priscus Kaspana, mmoja wa wanajopo…