JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Biashara

NMB kuchochea maendelea sekta ya utalii Arusha

Benki ya NMB imewahakikishia wafanyabiashara wakubwa mkoani Arusha ushirikiano wa karibu zaidi katika kukuza shughuli zao, hususan sekta ya utalii, ili kuongeza ufanisi wa kibiashara, mapato na mchango wa taifa katika uchumi wa dunia. Akizungumza kwenye hafla ya chakula cha…

Serikali yaipa tano NMB kutenga bil. 100/- kukopesha wasambazaji nishati safi

SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua Mfuko Maalum uliotengewa Sh. Bilioni 100 za kukopesha wasambazaji na wauzaji wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania, na kwamba Serikali itaingia kifua mbele katika Mkutano Mkuu wa Nishati wa Wakuu wa Nchi…

CRDB yazidi kuwainua wanawake kiuchumi, yaweka akaunti maalumu ya Malkia

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuhakikisha inawainua wanawake kiuchumi, Benki ya CRDB imeendelea kuwawezesha kwa kufungua akaunti ya Malkia ambayo itakuwa ni yenye malengo yakinifu na manufaa kwa maendeleo kwa wanawake. Akizungumza katika banda lao lililopo katika…

Washereheshaji watakiwa kutumia kiswahili fasaha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songea Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewaasa Washereheshaji kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha na kuibua misamiati mipya ambayo inaweza kichakatwa na kuwa rasmi katika kukuza lugha hiyo. Ndumbaro ametoa rai…

Ukosefu wa dola ya Marekani waathiri bei ya mafuta nchini

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania, EWURA, imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha, mafuta aina ya Petroli imepanda kwa shilingi 443 na dizeli ikipanda kwa shilingi 391 kwa kila lita moja kwa mafuta yanayouzwa…