Category: Biashara
NMB yakabidhi viti, meza za Mil. 15/- kwa Sekondari Mafia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Benki ya NMB imekabidhi msaada wa viti 100 na meza 100 vyenye thamani ya Sh. Mil. 15, kwa matumizi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Kidawendui na Jibondo, zilizoko Mafia mkoani Pwani, vifaa vilivyopokelewa na…
NMB yachangia mil. 41.2/- kuinua sekta ya elimu Ilala
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Benki ya NMB mwishoni mwa wiki ilikabidhi madawati, viti na meza zenye thamani ya shilingi milioni 41.2 kwa shule sita zilizopo wilaya ya Ilala, mkoani Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa dhamira…
Serikali yazungumzia malalamiko ya watumiaji wa bidhaa ya saruji
Serikali imezugumzia malalamiko ya watumiaji wa bidhaa ya Saruji aina ya Hauxin inayozalishwa na kiwanda cha Maweni Limestone Limited kilichopo Mkoani Tanga kuhusu upungufu wa uzito wa bidhaa hiyo. Naibu Waziri wa uwekezaji,viwanda na biashara Exaud Kigahe (Mb) ameyabainisha hayo…
Mfumuko wa bei za bidhaa washuka nchini
Na Wilson Malima, JAMHURI MEDIA Mfumuko wa bei za bidhaa na huduma chini Tanzania umepungua hadi kufikia asilimia 4.8 kwa mwaka ulioishia Februari 2023 tofauti na ilivyokuwa asilimia 4.9 kwa mwaka ulioshia Januari 2023. Mfumuko wa bei wa taifa hupima…
Kampeni ya ‘NMB Mastabata kotekote’ yafikia ukingoni
Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya NMB mastercard na QR Code ‘Lipa Mkononi’ iitwayo NMB MastaBata ‘Kote Kote’, imefikia ukomo kwa wateja 7 na wenza wao kujishindia safari ya Dubai kwa siku nne inayogharamiwa kila kitu na Benki ya NMB. Kampeni…