JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Biashara

Kampeni ya ‘NMB Mastabata kotekote’ yafikia ukingoni

Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya NMB mastercard na QR Code ‘Lipa Mkononi’ iitwayo NMB MastaBata ‘Kote Kote’, imefikia ukomo kwa wateja 7 na wenza wao kujishindia safari ya Dubai kwa siku nne inayogharamiwa kila kitu na Benki ya NMB. Kampeni…

NMB yafadhili mafunzo ya bodaboda yatakayofanyika nchini Rwanda

Benki ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) na waendesha bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, wanaoondoka nchini Jumatatu Februari 6,kwenda Kigali, Rwanda. NMB imekabidhi tiketi 12 za…

Benki ya Maendeleo Plc yapata faida maradufu 2022

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Benki ya Maendeleo Plc imepata faida ya shilingi Bilioni 1.3 mwaka 2022 ukilinganisha na faida ya shilingi milioni 587 ambapo ni sawa na ongezeko la zaidi ya mara mbili ya faida hiyo. Hayo yamesemwa Jijini Dar es…

Zaidi ya Watanzania 142 wanufaika na ajira

Zaidi ya Watanzania 142 wamenufaika na ajira kupitia Meridianbet Tanzania,ikiwa ni moja ya ndoto ya kampuni hiyo inayotoa huduma za michezo ya kubashiri mtandaoni. Akizungumza katika uzinduzi wa duka la Meridianbet lililopo Mtaa wa Tandika Majaribio, Temeke, Dar es Salaam,…

Halotel Tanzania yakabidhi gari jipya la promosheni ya 7bang bang

Kampuni ya Mawasiliano nchini ya Halotel Tanzania PLC imekabidhi zawadi kwa mshindi mkuu aliyejishindia gari aina ya IST Mpya wa draw kubwa ya mwisho ya promosheni ya wateja iliyokuwa na jina la 7bang bang. Promosheni hiyo ya “7 bang bang”…

Namoto aelezea mafanikio na changamoto za wamachinga 2022

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Chama cha Wafanyabiashara Ndogondogo Mkoa wa Dar es Salaam (KAWASO),kimeishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa jitihada za kuwaboreshea mazingira ya kufanya kazi zao ikiwemo kuwaweka kwenye mpangilio mzuri pamoja na kujenga masoko ya kisasa. Akizungumza na…