Category: Kitaifa
Mkurugenzi NIDA ang’oka
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hatimaye Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dk. Arnold Kihaule, ameng’oka katika nafasi yake. Mkurugenzi huyo ameng’oka huku kukiwa na malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa watu mbalimbali akiwamo Spika wa…
Polisi wachunguza madai ya Mbunge
MBOGWE Na Antony Sollo Polisi mkoani Geita wameanza uchunguzi wa tuhuma zilizotolewa bungeni wiki chache zilizopita kuwa maofisa madini mkoani hapa wamewaua kikatili watu sita. Tuhuma hizo zilitolewa bungeni jijini Dodoma na Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga, akidai kuwa mmoja…
Benki yamfitini Mzanzibari
*Ilikataa kumwongezea mshahara, akaomba kazi CRDB akapata *Ilipobaini amepata kazi ikaahidi kumlipa mara mbili asihamie huko *Alielekea kukubali, akabaini ni danganya toto, akathibitisha kuondoka *Utawala wakafanya mbinu, wakamfukuza kazi kwa kosa la kusingiziwa Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Benki moja kubwa…
Membe apigilia msumari
‘Katiba mpya, mgombea binafsi havikwepeki’ DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Kachero mbobezi, Bernard Membe, anasema hakuna wafanyabiashara walioumizwa na Serikali ya Awamu ya Nne ikilinganishwa na Serikali ya Awamu ya Tano. Anazungumzia mwenendo wa utawala wa Awamu ya Nne…
Siri hadharani
*Kampuni iliyoghushi, ikafungiwa yaelekezewa ulaji *Yakaribia kupewa zabuni nono ya Sh bilioni 440 *Ni mkopo wa maji utakaolipwa na Watanzania NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Wizara ya Maji imebariki kampuni kutoka nchini India isiyo na sifa kwa mujibu wa…
Membe aibua mapya
DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Mwanasiasa Bernard Membe anasema kuna umuhimu kwa viongozi wote kufanyiwa uchunguzi wa kina ili kujua historia na taarifa zao kwa kuwa baadhi yao si Watanzania. Huu ni mfululizo wa habari zinazotokana na mahojiano maalumu…