Category: Kitaifa
Dk. Ndumbaro: Bila dhamana ya benki hakuna kitalu
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro, ameagiza waombaji na washindi wa mnada wa vitalu vya uwindaji wa kitalii kuhakikisha wana dhamana ya benki kabla ya kukabidhiwa vitalu. Dk. Ndumbaro ametoa maagizo hayo…
Giza nene Ngorongoro
Na Mwandishi Wetu Wakati serikali na wadau wa uhifadhi ndani na nje ya nchi wakihaha kuikokoa Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) isitoweke, imebainika kuwa baadhi ya vigogo, wakiwamo wabunge, wanamiliki maelfu ya mifugo katika eneo hilo. Tayari kampeni kubwa…
Taharuki sadaka ya kuchinja
*Mamia ya kondoo yachinjwa, wanafunzi shule za msingi walishwa nyama, wapigwa picha *Wazazi washituka, wazuia watoto wasiende shuleni wakidai ni aina ya kafara isiyokubalika *Mkuu wa Wilaya aingilia kati, aitisha kikao cha dharura Arusha Na Mwandishi Wetu Taharuki imewakumba wazazi…
Mwendokasi wanakufa na tai shingoni
Na Joe Beda Rupia Usipokuwa makini unaweza kudhani mambo ni shwari katika kampuni ya mabasi yaendayo haraka, UDART, ya jijini Dar es Salaam. Hakuna anayesema ukweli. Hakuna anayewasemea. Hakuna anayewajali. Wadau wamekaa kimya. Wamewatelekeza na wao wenyewe ni kama wameamua…
RC Hapi aongezewa makali
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Huenda panga pangua ya viongozi mkoani Mara ikaanza kuchukua mkondo wake kwa kasi. Ni baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuutembelea mkoa huo na kubaini upungufu mwingi, ikiwamo kutelekeza miradi ya maendeleo kwa kipindi…
Dk. Mwinyi ataka mabadiliko
Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza haja kwa watendaji serikalini kubadilika na kutofanya kazi kwa mazoea ili mipango iliyopangwa na serikali itekelezeke. Rais Dk. Mwinyi amesema hayo baada…





