Category: Kitaifa
BAJETI 2021/22 Prof. Ngowi, vyama wachambua bajeti
DAR ES SALAAM Na Waandishi Wetu Wachambuzi wa masuala ya uchumi nchini wameunga mkono bajeti iliyosomwa bungeni wiki iliyopita, ila wameeleza maeneo yanayohitaji ufafanuzi ili kuondoa wasiwasi wa wananchi. Wamezungumzia hoja ya serikali kutaka ipanue wigo wa ukusanyaji kodi. Profesa…
Rais Samia mwokoe aliyebambikiwa mauaji
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Ndugu wa mmoja wa mahabusu aliyepo katika Gereza la Keko anayetuhumiwa kwa kesi ya mauaji, Saidi Hamisi Lubuva, wameangua kilio ndani ya ofisi za gazeti hili wakati wakihadithia madhila anayokumbana nayo. Hali hiyo imetokea…
Chrisant Mzindakaya: ‘Umonsi wa masumo’
Na Joe Beda Rupia Ni msiba mkubwa mjini Sumbawanga. Huenda msiba huu ndio mkubwa zaidi kuwahi kuukumba Mkoa wa Rukwa tangu Februari 1994 alipofariki dunia Askofu Karolo Msakila. Dk. Chrisant Majiyatanga (jina la utani la baba yake alilorudi nalo nyumbani…
Ashtushwa na matamshi ya Othman
ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Baraka Mohamed Shamte, ameyatilia shaka matamshi ya mara kwa mara ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman, akisema yanaweza kuvuruga upepo na ustawi wa umoja wa kitaifa….
‘Wenye ulemavu wapelekwe shule’
KATAVI Na Walter Mguluchuma Familia zenye watoto wenye ulemavu zimehamasishwa kuwapeleka shule watoto hao waweze kutimiza ndoto zao badala ya kuwachukulia kama laana. Akizungumza katika kikao maalumu na wazazi wa watoto wenye ulemavu, Ofisa Maendeleo wa Ustawi wa Jamii Manispaa…
TEMESA yatupiwa lawama
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Baadhi ya wakazi wa Kigamboni wameiomba serikali kuangalia upya utaratibu wa mfumo wa kadi za kielektroniki kutumika wanapovuka bahari kwa kutumia pantoni. JAMHURI limeelezwa na wananchi hao kwamba mfumo huo umeanza kutumika bila kuwapo…