Category: Kitaifa
Daktari bingwa aanzisha mtandao wa kuelimisha wazazi
Daktari bingwa wa watoto katika Hospitali ya Regency jijini Dar es Salaam, Rahim Damji, ameanzisha mtandao wa kutoa ushauri na elimu ya afya ambao umewasaidia wazazi wengi kuokoa maisha ya watoto wao. Akizungumza na JAMHURI hivi kaibuni, Dk. Damji, amesema…
Bodi ya Korosho yatakiwa kulipa 16m/-
Bodi ya Korosho imetakiwa kulipa haraka deni la Sh milioni 16 kwa Kijiji cha Kimanzichana Kaskazini, wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani baada ya kukodi ghala la kijiji hicho kwa ajili ya kuhifadhi pembejeo za korosho. Agizo hilo limetolewa hivi…
Barabara yawatesa wakazi Kisangara, Shighatini
· TARURA yasema mkandarasi yupo kazini · Mbunge asema bado mkandarasi hajapatikana · Mkandarasi agoma kuzungumza ARUSHA NA ZULFA MFINANGA Ubovu wa barabara inayounganisha Kata ya Shighatini na Ngujini wilayani Mwanga katika Mkoa wa Kilimanjaro umeendelea kuwa kero kwa wakazi wa maeneo hayo,…
Soko la Bidhaa lawanufaisha wakulima
Na Mwandishi Wetu Wakulima nchini wameanza kunufaika na kuwepo kwa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) ambalo lipo mahususi kusaidia masoko ya mazao yanapatikana kwa wakati sahihi na mauzo yanafanyika kwa ushindani stahiki. Na katika kuhakikisha kuwa faida za soko hilo…
Wanawake wajasiriamali wawezeshwa 7bn/-
Na Mwandishi Wetu Wanawake wajasiriamali zaidi ya 28,000 wamewezeshwa na serikali kupata mikopo yenye masharti nafuu kama sehemu ya kupambana na umaskini nchini na kuwashirikisha wananchi kikamilifu katika ujenzi wa taifa. Wizara ya Fedha na Mipango ilisema wiki iliyopita kuwa…
BRELA yafumuliwa
Menejimenti ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imefumuliwa. Katika mpango mahususi unaotajwa kuwa unalenga kupambana na rushwa, vishoka, utendaji wa mazoea, na kuifanya BRELA ishiriki vilivyo kwenye ujenzi wa uchumi wa taifa, vigogo watano tayari wameondolewa kwenye…