Category: Kitaifa
PSSSF yatumia tril. 1.1/- pensheni
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ndani ya miezi sita umetumia Sh trilioni 1.1 kulipa pensheni za wastaafu. Kiwango hicho kinajumuisha jumla ya Sh. bilioni 880 ambazo wamelipwa wastaafu 10,000 ambao pensheni zao zilisimamishwa katika Mfuko wa PSPF…
Polisi wamkoga JPM
Ni ajabu na kweli, magari matano kati ya manane yaliyokuwa yanahusishwa na ‘papa wa unga’, yaliyokuwa yamehifadhiwa Kituo cha Polisi Oysterbay yameondolewa kituoni hapo kwa njia za utata. Magari hayo ya kifahari ni mali ya Lwitiko Samson Adam (Maarufu kama…
Mdhamini, Mwenyekiti CWT
Hali imezidi kuwa tete katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT), baada ya baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa chama hicho kutiliwa shaka na baadhi ya wanachama, JAMHURI limebaini. Gazeti hili la JAMHURI limejiridhisha kuhusu kuwapo kwa mpasuko miongoni…
Watano wafukuzwa kazi Benki ya Ushirika
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Ushirika mkoani Kilimanjaro (KCBL) imewafukuza kazi maofisa wake watano akiwamo Meneja Mkuu wa benki hiyo, Joseph Kingazi, kwa tuhuma za kuhusika katika ufisadi wa mabilioni ya fedha. Maofisa wengine wa benki hiyo waliofukuzwa kazi…
Kashfa ya vipodozi Kamal Group
Kampuni ya Kamal Group inayomiliki kiwanda cha kuzalisha nondo cha Kamal Steel inatuhumiwa ‘kupoka’ vipodozi vyenye thamani ya Sh milioni 109 mali ya Barbanas Joseph, mkazi wa Dar es Salaam. Jengo la ghorofa tisa mali ya Kampuni ya Kamal lililopo…
CWT kwawaka
Fukuto limezidi kuwa kubwa ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) baada ya gazeti hili kuchapisha taarifa za kuwapo ufujaji wa mali za walimu wiki iliyopita, JAMHURI linathibitisha. Wiki iliyopita JAMHURI lilichapisha orodha ya wafanyakazi waliopewa ajira kwa njia ya…