JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Wamdanganya Magufuli

Kashfa imegubika maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi mwaka huu yaliyofanyika kitaifa jijini Mbeya. Kashfa hiyo imekikumba Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU). Ndani ya chama hicho, baadhi ya viongozi wake wanadaiwa kuwasilisha jina la kigogo…

Fedha za wastaafu zakwapuliwa

Shilingi bilioni 1.2 zikiwa ni fedha za malipo ya mafao ya walimu wastaafu katika Mkoa wa Mara zinadaiwa kukwapuliwa na mafisadi, Gazeti la JAMHURI linaripoti. Mamilioni hayo ya fedha yameelezwa kuchukuliwa kupitia njia ovu ya mikopo hewa. Baadhi ya viongozi…

Dengue mtihani

Si kila homa ni malaria! Kauli hii inapaswa kuzingatiwa hasa kipindi hiki ambacho ugonjwa wa homa ya dengue unatajwa kushika kasi jijini Dar es Salaam. Serikali imethibitisha ugonjwa huo kusambaa kwa haraka katika wilaya za Ilala, Kinondoni na Ubungo. Kutokana…

Mazito ya Mengi

Mfanyabiashara maarufu nchini na kimataifa, Reginald Mengi, amekuwa na maisha yenye mengi, kuanzia mwenendo wake binafsi na mwenendo wake ndani ya jamii alimoishi. Undani wa maisha yake umejibainisha katika kitabu chake cha hivi karibuni kinachoitwa “I Can, I Must, I…

Avamia ardhi ya mwenzake kibabe

Kumeibuka mgogoro wa ardhi katika Kisiwa cha Juma Kisiwani, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, unahusu ekari 26 zinazomilikiwa na mfanyabiashara wa madini, Baraka Chilu; lakini mfanyabiashara wa samaki, Joseph Njiwapori, anadaiwa kulivamia eneo hilo. Serikali ya Kijiji cha Juma Kisiwani imelifikisha…

CCM: CAG safi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amesema ukaguzi na udhibiti wa ndani ya chama hicho kwa sasa ni zaidi ya kile kilichobainishwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa…