Category: Kitaifa
Makontena 1,700 magari 900 yapotea
Makontena 1,762 na magari 919 yametolewa katika Bandari Kavu jijini Dar es Salaam bila kulipiwa ushuru na kodi mbalimbali, JAMHURI limebaini. Pamoja na upotevu huo, Serikali imepata hasara ya Sh milioni 914.136 ambazo hazikulipwa na meli za mafuta kwa miezi…
UKWEPAJI KODI: JK hachomoki
Kwa muda mrefu sasa, zimekuwapo taarifa kwamba familia hiyo ya Rais mstaafu imekuwa ikizibeba kampuni hizo, na moja inayotajwa ni ile ya Home Shopping Centre, iliyojitangaza mufilisi. Home Shopping Centre ilijitangaza kufilisika siku chache kabla ya Rais John Magufuli kuapishwa….
Said Bakhresa asalimu amri
Kampuni ya Said Salum Bakhresa imelipa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) dhamana ya Sh bilioni 4.2 kama sehemu ya kuwabana wafanyabiashara waliokwepa kulipa kodi ya makontena zaidi ya 300 yaliyopotea kwenye Bandari Kavu (ICD) ya Azam inayomilikiwa na bilionea…
Mfanyabiashara aichezea mahakama
Mfanyabiashara Lodrick Uronu, ameingia katika mgogoro wa kisheria akituhumiwa kuvunja nyumba iliyopo katika kiwanja Na. 23 Mtaa wa Sokoni, Manispaa ya Moshi bila kuwa na amri halali ya korti. Nyumba hiyo mali ya marehemu Mwanaisha Suleiman na Zubeda Suleiman, ipo…
Z’bar pagumu – Cheyo
Mwenyekiti wa Taifa wa UDP, John Cheyo maarufu kama ‘Bwana Mapesa’, amesema suala la mwafaka wa urais Zanzibar ni gumu na halihitaji kuamuliwa kirahisi rahisi bila kutafakari. Badala yake Cheyo amesema kuna haja kwa viongozi kukaa kwenye meza ya mazungumzo…
Dk. Magufuli apukutisha viza ‘Wizara ya Membe’
Mwezi mmoja tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, apige marufuku safari za nje ya nchi kwa viongozi nchini, maombi ya viza yamepungua kwa asilimia 90. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini ya kuwa Wizara ya Mambo…