Category: Kitaifa
Magufuli akabidhiwa orodha
Baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga kuwataka polisi wamweleze mikakati waliyonayo ya kupambana na wauzaji wa dawa za kulevya ifikapo wiki hii, habari za uhakika zilizolifikia JAMHURI zinasema Rais John Pombe Magufuli tayari amekabidhiwa majina ya wauzaji,…
Kikwete ana siri ya makontena
Rais mstaafu Jakaya Kikwete imeelezwa kuwa anafahamu kilichokuwa kinaendelea katika suala la makontena yaliyopotea bandarini na taarifa za kiuchunguzi zinaonesha alipewa taarifa akazikalia kimya. Vyanzo vya uhakika vimeliambia JAMHURI kuwa aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe alibaini upotevu wa…
WHC: VAT iondolewe mauzo ya nyumba
Kampuni ya Watumishi Housing (WHC) iliyoanzishwa mahususi kujenga nyumba za bei nafuu kwa watumishi wa umma, imesema Kodi ya Ongezeko ya Thamani (VAT) katika nyumba wanazojenga wakati wa kuuza inazifanya nyumba za bei nafuu kuwa ghali, hivyo Serikali iifute. Akizungumza…
Vibali vyagonganisha viongozi wa Magufuli
Taasisi za Serikali zimeanza kugongana kutokana na Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano kupitisha sheria zinazokinzana. Utata huo umetokea baada ya Ofisi ya Waziri Mkuu kutoa tangazo lililotiwa saini na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,…
Sakata kesi ya ‘unga’ lachukua sura mpya
Wiki moja tangu kuchapwa kwa habari ya malalamiko ya Watuhumiwa wa kesi ya dawa za kulevya ‘unga’ aina ya heroin kuhusu kucheleweshwa kwa shauri wakidai linachukua muda mrefu kusikilizwa, limefumua mambo mengine. Taarifa zinasema kwamba shauri hilo lilitoka Mahakama ya…
Utata kifo cha Ofisa Uhamiaji
Kifo cha Ofisa wa Idara ya Uhamiaji, Mkoa wa Rukwa, Chris Kanyama kimeibua utata na uhasama ndani ya idara hiyo nyeti nchini. Vyanzo vya habari kutoka idara hiyo vinasema kwamba Kanyama kabla ya kifo chake kulikuwa na mlolongo wa matukio…