Category: Kitaifa
RC, wana mazingira watifuana K’njaro
Wanaharakati wa mazingira mkoani Kilimanjaro wamemtaka Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla (pichani), kufuta maagizo yake ya kuzitaka halmashauri za wilaya kuvuna magogo katika misitu ya asili kwa ajili ya kutengeneza madawati. Makalla akiwa wilayani Same hivi karibuni, alitoa maagizo…
JPM avalia njuga rushwa kortini
Rais Dk. John Magufuli ametikiswa na ripoti ya rushwa katika mahakama za Tanzania. Ameanza kulivalia njuga suala hilo kwa kasi ya ajabu. Mbali ya madai ya kubambika kesi kunakofanywa na Jeshi la Polisi, taarifa mpya zilizotua mezani kwa Rais Dk….
Rais Magufuli ainusuru Burundi
Tanzania imeinusuru Burundi kushambuliwa na majeshi ya Umoja wa Afrika (AU) baada ya kushauri na kusikilizwa kuwa pande zinazokwaruzana zichukue mkondo wa mazungumzo badala ya kuendelea na vita inayoweza kuiingiza nchi hiyo katika mauaji ya kimbari. Waziri wa Mambo ya…
Mtoto wa Kova yumo
Sakata la wizi na upotevu wa makontena limechukua sura mpya baada ya vituko kadhaa kujitokeza ikiwamo watuhumiwa ambao ni watoto wa vigogo kupata dhamana kimizengwe. Ukiacha hilo, watendaji walioteuliwa na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Badari, Madeni Kipande kusimamia upakiaji…
Maalim Seif abana
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad, ametajwa kuwanyima usingizi viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Taarifa ambazo gazeti hili…
Gari la askari lasafirisha wahamiaji haramu
Polisi mkoani Tanga, wanafanya kila linalowezekana ili gari la askari wa Jeshi hilo lililokamatwa likiwa na wahamiaji haramu 10 liachiwe. Duru zinaonyesha kuwa polisi wamekuwa kwenye msuguano na Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Tanga, wakitaka gari la mwenzao lisiendelee kushikiliwa…