JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

UVCCM Zanzibar yamshauri msajili kukifuta chama cha ACT-Wazalendo

Na Is- Haka Omar, JamhuriMedia, Zanzibar UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Zanzibar,umemshauri Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mtungi,kufuta usajili wa Chama cha ACT-Wazalendo kutokana na kufanya siasa za chuki,fitna na kumdhalilisha Rais wa Zanzibar Dk.Hussein…