Rais Samia akagua ujenzi wa meli mpya ya abiria na mizigo ya MV Mwanza
JamhuriComments Off on Rais Samia akagua ujenzi wa meli mpya ya abiria na mizigo ya MV Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteremka kutoka ndani ya Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV Mwanza inayoendelea kujengwa katika bandari ya Mwanza South Mkoani Mwanza mara baada ya kagua maendeleo ya Ujenzi wa Meli hiyo tarehe 14 Juni, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mwanza mara baada ya kukagua Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV Mwanza inayoendelea kujengwa katika bandari ya Mwanza South Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023.Jengo la Hoteli itakayokuwa na hadhi ya Nyota tano ambayo inaendelea kujengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Mkoani MwanzaMeli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV Mwanza inayoendelea kujengwa katika bandari ya Mwanza South Mkoani Mwanza