Category: Kitaifa
Mvutano uchinjaji Mbeya
Hivi karibuni kumezuka vurugu baina ya Wakristo na Waislamu katika mji wa Tunduma mkoani Mbeya, wakigombea uchinjaji mifugo ingawa siku zote Waislamu ndiyo wamekuwa wakitekeleza jukumu hilo.
India yakubaliwa kuchimba dhahabu, almasi Tanzania
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Serikali ya India, la kutaka kuwekeza katika sekta ya nishati na madini nchini.
Udokozi bandarini ukomeshwe
Bandari ya Dar es Salaam ni mashuhuri katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Bandari hii, kwa muda mrefu, imekuwa kitovu cha biashara kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kati zisizokuwa na bandari (land locked).
Kwimba walilia maji safi
Mbunge wa Kwimba, Shanif Hirani Mansoor (CCM), amesema ameshaanza kushughulikia ujenzi wa mabwawa ya maji katika kata kadhaa jimboni humo.
Mchele wakosa soko Same
Wakulima wa mpunga wilayani Same mkoani Kilimanjaro, wameeleza kushangazwa na uamuzi wa Serikali kuruhusu uagizaji wa mchele kutoka nje ya nchi, wakati wao wamekosa wanunuzi wa tani 15,000 za bidhaa hiyo hapa nchini.
Ridhiwani Kikwete atoa ya moyoni
Wiki iliyopita gazeti hili lilichapisha sehemu ya kwanza ya mahojiano kati ya Ridhiwani Kikwete (pichani) na JAMHURI. Leo tunakulete sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano hayo.
JAMHURI: Mitandao ya kijamii unaisoma? Unajisikiaje wewe na Mheshimiwa Kikwete mnavyoshambuliwa?
RIDHIWANI: Hivi vitu kwanza tumshukuru Mungu kwa sababu Mungu amewapa watu nafasi ya kusema. Mitandao hii inatoa nafasi ya kuwafanya watu watoe yaliyomo moyoni mwao. Taarifa iliyosomwa na Waziri Mkuu mwaka 2007 ilionesha CCM ilikuwa imefanikiwa kutekeleza asilimia 98 ya Ilani ya Uchaguzi. Kufikia mwaka 2009 ikawa imetekelezwa kwa asilimia 100.
- Serikali inaendelea kutekeleza miradi ya umeme kwenye maeneo ya kimkakati – Kapinga
- Fedha za CSR za Barrick Bulyanhulu kuendelea kufanikisha miradi ya jamii Nyang’hwale
- Upanuzi kituo cha kupoza umeme Mbagala mbioni kukamilika
- Zaidi ya bilioni 17/- kusambaza umeme vitongojini Singida
- Waziri Chana atoa wito kwa nchi wanachama kushirikiana katika uwekezaji wa teknolojia
Habari mpya
- Serikali inaendelea kutekeleza miradi ya umeme kwenye maeneo ya kimkakati – Kapinga
- Fedha za CSR za Barrick Bulyanhulu kuendelea kufanikisha miradi ya jamii Nyang’hwale
- Upanuzi kituo cha kupoza umeme Mbagala mbioni kukamilika
- Zaidi ya bilioni 17/- kusambaza umeme vitongojini Singida
- Waziri Chana atoa wito kwa nchi wanachama kushirikiana katika uwekezaji wa teknolojia
- Majaliwa ateta na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire
- Wanafunzi St Anne Marie Academy watoa msaada kituo cha yatima Dar
- Trump atangaza kuiondolea vikwazo vyote Syria
- Wanafunzi wa kidato cha sita 130 Milambo sekondari watimuliwa
- Rais Samia, hili la msamaha wa faini za ankara za maji, umekonga nyoyo za wananchi
- MOI kutoa matibabu bure siku saba Mbagala
- Jafo aonya vijana kunywa pombe kupita kiasi
- Runali chagawa pembejeo 3000 kwa wakulima zao korosho Nachingwea
- Uboreshaji bandari ya Karema unaofanywa na Serikali kupitia TPA wavutia wawekezaji
- Abiria 1,200 wanusurika ajali ya treni mjini kwenda Pugu, 10 wakimbizwa hospitali