Category: Kitaifa
Ujio wa Rais Putin balaa
Ulinzi mkali unatarajiwa kuchukua nafasi yake, Rais wa Russia, Vladimir Vladimirovich Putin, atakapozuru Tanzania mapema mwakani kutokana na ‘mbabe’ huyo kuwa na uhasama na Marekani.
Wakati wowote Rais Putin anaposafiri — iwe ndani ya Russia au nje ya nchi — ulinzi wake ni mkali na ulio kamili (almost absolute) kama ule wa Barack Obama wa Marekani.
Kikwete awakoroga wagombea urais
Putin anakuja Tanzania
Obama anataka niwe Rais Tanzania-Waziri
*Wabunge wakataa ‘hongo’ ya safari ughaibuni aliyowaahidi
*Ripoti aliyowasilisha yatupwa, wasema imejaa ubabaishaji
*Msanii aliyekuwa Marekani na Nyalandu, Aunty Ezekiel anena
Waziri aonya rushwa Zimamoto
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima, amewataka askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kuepuka tamaa hasa vitendo vya kupokea rushwa.
Kibao chawageukia Al-Shabaab, Boko Haram
INTELIJENSIA ya Serikali za Nigeria na Somalia, zimeshtukia mipango ya makundi ya kigaidi ya Al-Shaabab na Boko Haram yaliyopanga kuungana, lakini mambo yamewawia ugumu.
- Kada wa CCM Mary Nchimbi afariki dunia
- Rais Mwinyi : Kamati ya CCM na ACT Wazalendo kuimarisha maridhiano Zanzibar
- Kiwanda cha kuchakata mchanga mzito wa baharini Afrika kujengwa Pangani, Tanga
- Rais Dk Mwinyi azindua Kamati ya majadiliano ya pamoja kati ya CCM na ACT
- UDSM kuwa mwenyeji wa mkutano wa AAP 2026
Habari mpya
- Kada wa CCM Mary Nchimbi afariki dunia
- Rais Mwinyi : Kamati ya CCM na ACT Wazalendo kuimarisha maridhiano Zanzibar
- Kiwanda cha kuchakata mchanga mzito wa baharini Afrika kujengwa Pangani, Tanga
- Rais Dk Mwinyi azindua Kamati ya majadiliano ya pamoja kati ya CCM na ACT
- UDSM kuwa mwenyeji wa mkutano wa AAP 2026
- CBE Yaanzisha Shahada za Double Degree, Uanagenzi
- Salome ashiriki ufunguzi wa Gastech 2026 Bangkok
- Prof. Shemdoe azitaka wilaya, halmashari zote kujiandaa kukabiliana na athari za mvua za El nino
- Uchaguzi viongozi wapya Burunge WMA waanza
- TARURA yaendelea kuboresha miundombinu ya barabara Dodoma
- Tanzania yajipanga kuimarisha ushirikiano na Chuo cha Hanyang ERICA cha Korea Kusini
- Naibu Katibu Mkuu ACT -Wazalendo Zanzibar aanza ziara Pemba
- TMA yapongezwa kwa utabiri sahihi wa hali ya hewa
- Tanzania yazidi kuimarisha nafasi yake katika biashara ya umeme kikanda
- Mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa kv 220 Iganjo–Saza kuimarisha upatikanaji umeme – Salome
Copyright 2025