JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Benki yamfitini Mzanzibari

*Ilikataa kumwongezea mshahara, akaomba kazi CRDB akapata *Ilipobaini amepata kazi ikaahidi kumlipa mara mbili asihamie huko *Alielekea kukubali, akabaini ni danganya toto, akathibitisha kuondoka *Utawala wakafanya mbinu, wakamfukuza kazi kwa kosa la kusingiziwa Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Benki moja kubwa…

Membe apigilia msumari

‘Katiba mpya, mgombea binafsi havikwepeki’ DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Kachero mbobezi, Bernard Membe, anasema hakuna wafanyabiashara walioumizwa na Serikali ya Awamu ya Nne ikilinganishwa na Serikali ya Awamu ya Tano. Anazungumzia mwenendo wa utawala wa Awamu ya Nne…

Siri hadharani

*Kampuni iliyoghushi, ikafungiwa yaelekezewa ulaji *Yakaribia kupewa zabuni nono ya Sh bilioni 440 *Ni mkopo wa maji utakaolipwa na Watanzania NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Wizara ya Maji imebariki kampuni kutoka nchini India isiyo na sifa kwa mujibu wa…

Membe aibua mapya

DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Mwanasiasa Bernard Membe anasema kuna umuhimu kwa viongozi wote kufanyiwa uchunguzi wa kina ili kujua historia na taarifa zao kwa kuwa baadhi yao si Watanzania. Huu ni mfululizo wa habari zinazotokana na mahojiano maalumu…

DC ampa ardhi aliyechoma  moto nyumba za wananchi

*Mwenyewe adai alipewa eneo hilo na Sokoine mwaka 1983 KIBAHA Na Mwandishi Wetu  Wananchi wa Lupunga, Kibaha mkoani Pwani wamepigwa butwaa baada ya mwekezaji aliyewachomea moto makazi yao kuthibitishwa kuwa ndiye mmiliki halali wa eneo hilo. Wakazi hao, wengine wakiwa…

MWAKA MMOJA MADARAKANI… Rais Mwinyi kuwalipa waliotapeliwa ‘DECI’

ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuwalipa watu waliotapeliwa mabilioni ya fedha kwa njia ya upatu. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa uongozi wa Awamu ya…