Category: Nyundo ya Wiki
DC ampa ardhi aliyechoma moto nyumba za wananchi
*Mwenyewe adai alipewa eneo hilo na Sokoine mwaka 1983 KIBAHA Na Mwandishi Wetu Wananchi wa Lupunga, Kibaha mkoani Pwani wamepigwa butwaa baada ya mwekezaji aliyewachomea moto makazi yao kuthibitishwa kuwa ndiye mmiliki halali wa eneo hilo. Wakazi hao, wengine wakiwa…
Sengerema wamjaribu Rais Samia
SENGEREMA Na Antony Sollo Fedha zilizotolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, zimeliwa. Uchunguzi wa JAMHURI umebaini kuwa wizi wa fedha hizo umefanywa kwa ustadi mkubwa na maofisa kadhaa wa…
NMB wamtia umaskini mstaafu
DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Uzembe unaodaiwa kufanywa na Benki ya NMB Makao Makuu umesababisha kushindwa kuondoa majonzi kwa mkunga mstaafu, Yustina Mchomvu, aliyetapeliwa fedha zake za mafao. Fedha za mjane huyo mkazi wa Msindo, Same, mkoani Kilimanjaro, ziliibwa…
Utata wa taalamu wa kigeni kukamatwa
DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Kukinzana na kugongana kwa taratibu na sheria kati ya idara mbili nyeti za serikali kumesababisha wataalamu saba kutoka nje ya nchi kufikishwa mahakamani. Kwa mujibu wa taarifa zilizolifikia gazeti hili, wataalamu hao saba waliletwa…
Makamba na ‘uchungu wa mimba’ ya TANESCO
Waziri wa Nishati, January Makamba, Septemba 17, mwaka huu alizungumza na watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo, pamoja na mambo mengine, ilisukumwa zaidi na tatizo sugu la kukatika umeme nchini mara kwa mara…
Virusi vingine hatari hivi hapa
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Wakati dunia ikiendelea na mapambano dhidi ya ugonjwa wa COVID – 19 unaosababishwa na virusi vya corona; virusi vinavyotambulika kama ‘Human Papilloma’ (HPV) vinatajwa kuwa ni hatari kwa binadamu. Mkurugenzi wa Huduma za Kinga…





