Category: Michezo
YANGA YAFUNGA MWAKA KWA KIPIGO CHA 2-0 KUTOKA KWA MBAO FC
Yanga leo imefunga mwaka vibaya kwa kukubali kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Mbao fc ya mwanza, mabao yote ya mbao yamefungwa na Habib Aji kwenye dakika ka 52 na 70. kutokana na mchezo huo sasa unaiondoa yanga kwenye orodha…
CRYSTAL PALACE YAIKAZIA MAN CITY
Ligi kuu nchini Uingereza imeendeleaa tena leo kwa mchezo mmoja kati ya Crystal Palce dhidi ya Manchester City, matokeo ya mchezo huo Crystal Palace imefanikiwa kuwakazia Manchester City na kutoka nao sare ya 0 – 0. Katika mchezo huo Crystal…
WALLANCE KARIA APIGA MARUFUKU MASHINDO YASIYOTAMBULIKA NA TFF
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amefuta mashindano yoyote ya soka yaliyo nje ya mfumo wa shirikisho hilo isipokuwa tu kwa kibali maalum. Karia ameyasema hayo katika Mkutano wake na Wahariri wa vyombo vya habari ambapo amesema…
LIVERPOOL, TOTTENHAM, CHELSEA YATOA VIPIGO, MAN UNITED YASHIKWA SHARUBU NA BURNLEY
Ligi kuu nchini uingereza iliendelea tena jana kwa mechi kazaa ambapo liverpool imeitandika Swansea City kwa magori 5-o, magaori hayo yalifungwa na Roberto Firmino ambaye alifunga magori mawili dakika 52 na 66 , magoli mengine yalifungwa na Trent Alexander-Arnold alifunga…
TARAKA YAMPONZA MCHEZAJI WA ZAMANI WA ARSENAL, SASA ALALA SAKAFUNI
Kiungo wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ivory Coast Emmanuel Eboue amepatwa msongo wa mawazo mpaka kufikia hutua ya kutaka kujiua kutokana na hali mbaya inayomkabili katika maisha yake ya sasa. Eboue alikuwa akipokea kiasi kikubwa katika…
Barcelona Yaizalilisha Madrid, Yaitandika Mabao 3-0
KLABU ya Barcelona imeipa kichapo cha bao 3-0 mahasimu wao Real Madrid katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka nchini Hispania, maarufu kama LaLiga Santada. Katika mchezo huo wa kusisimua na ulioshuhudiwa na mamilioni ya watu duniani kote, hadi dakika…